Bonyeza Kujiunga nasi WhatsApp Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.
Nafasi za Ajira 126 Msaidizi wa Hesabu Daraja la II MDAs & LGAs
| Kigezo | Maelezo |
|---|---|
| Kazi | Msaidizi wa Hesabu Daraja la II |
| Mwajiri | MDAs & LGAs |
| Idadi ya Nafasi | 126 |
| Muda wa Maombi | 15/10/2025 – 30/10/2025 |
Majukumu
Kuandika na kutunza rejesta zinazohusu shughuli za uhasibu.
Kutunza kumbukumbu za hesabu.
Kupeleka barua au nyaraka za uhasibu benki.
Kutekeleza kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Sifa za Mwombaji
Awe na Cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali au Cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA, au sifa nyingine zinazolingana zinazotambuliwa na NBAA.
Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320,
Mtaa wa Mahakama, Tambukareli,
DODOMA.