Bonyeza Kujiunga nasi WhatsApp Kwa nafasi za kazi, matangazo mbalimbali Ajira mpya kutoka Serikalini, Kampuni, Taasisi mbalimbali TAESA, Viwandani, Internships.
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura Mji Newala 2025 – Tume Huru ya Uchaguzi 2025 waombaji nafasi za Wasimamizi wa Vituo vya Kupiga Kura, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura kufika kwenye usaili.
Tume Huru ya Uchaguzi (NEC) imetoa tangazo rasmi kuhusu wito wa usaili kwa waombaji waliowasilisha maombi ya nafasi mbalimbali za ajira kwa ajili ya maandalizi na usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Usaili huu ni hatua muhimu inayolenga kupata watumishi wenye uadilifu, weledi na uzoefu wa kusimamia shughuli za uchaguzi kwa uwazi na ufanisi.
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Newala Mjini anawatangazia waombaji wa nafasi za wasimamizi wa vituo vya kupigia kura na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura pamoja na makarani waongozaji wapiga kura kuwa kutakuwa na usaili tarehe 06/10/2025 katika shule ya sekondari Nangwanda kuanzia saa 2:00 Asubuhi
kuyaona majina ya walioitwa kwenye usaili bonyeza maandishi ya bluu hapo chini
Hitimisho
Tume Huru ya Uchaguzi inawaasa walioitwa kuzingatia maelekezo yote muhimu, ili kuhakikisha zoezi hili linafanyika kwa uwazi na ufanisi. Waliofanikiwa kwenye usaili wataunganishwa na timu ya usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki, amani na uwazi.
Kwa taarifa zaidi na orodha kamili ya majina, tafadhali tembelea tovuti ya wilaya yako au katika ofisi ya mtendaji wako..
Soma zaidi: